Assalam Aleykum!! Mambo Vp kwako wewe kijana!! Me nipo poa na nachukua nafasi hii kujitupa katika uga wa Blog ili nami niweze kukujuza mambo mbalimbali ambayo naweza kuyanasa lakini pia nawe uweze kuyafahamu. Si unajua tena dunia ya sasa imetawaliwa na utandawazi na hivyo ni wazi kila ulijualo ni lazima umfahamishe mwenzako!! Lakini mwanzo nitakuwa me nikikupasha wewe lakini baadaye nitakupa nafasi hata wewe kuwaelewesha wengine kinacho tokea huko!!
Sitaki kuzungumza sana lakini huu ni mwanzo.
Kila la Kheri!!!
Tuesday, December 8, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment